Beki wa Crystal Palace Marc Guehi hana nia ya kusaini mkataba mpya baada ya uhamisho wake kwenda Liverpool kuporomoka, Manchester United bado iko tayari kumuuza kipa Andre Onana, Tottenham wanatumai kiungo wa kati Yves Bissouma ataondoka.
Source link
