#HABARI: Makatibu Wakuu wa Wizara za Biashara na Maendeleo ya Viwanda pamoja na Kilimo, kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamefanya ziara ya kutembelea Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) ambapo kituo hicho kimejipanga kuanzisha viwanda darasa vya kuchakata mazao yanayotokana na Uchumi wa Bluu ikiwemo Samaki, Mwani na Dagaa, Zanzibar ili kuongeza thamani na kuuza katika masoko ya ndani na nje ya nchi hivyo kupunguza upotevu wa mazao hayo na kuwanufaisha wananchi pamoja na kuimarisha Uchumi wa Bluu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.