#HABARI: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapindunzi (CCM) katika Jimbo la Rorya Mhe. Jafarry Chege amehitimisha kampeni zake huku akiwataka wananchi kuhakisha wanajitokeza kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wa ccm ikiwemo mgombea urais kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan
Chege amesema Rorya ina fursa nyingi sana na hata uwepo wa ziwa ni moja ya fursa ambazo wakizifanyia kazi zitaendelea kuwainua kiuchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania