“Nimeondoka CHADEMA kwa sababu…chama kimepoteza muelekeo, chama kinaenda kuwa NGO, ambayo inafanya Activism…mimi ni mwanasiasa, nataka kufanya siasa, kwa hiyo nimetafuta platform ya kufanya siasa,”-Ezekiel Wenje-Mwanasiasa.
#DAKIKA45
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.