#HABARI: Mgombea Udiwani wa Kata ya Makutupora kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Almon Chaula, ameahidi kushughulikia kwa ukamilifu changamoto ya Migogoro ya Ardhi iliyodumu kwa muda mrefu katika Kata hiyo, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu.

Chaula ametoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika katika Mtaa wa Veyula, Jijini Dodoma, ambapo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kukipa ushindi chama hicho.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *