#HABARI: Wakazi wa Kijiji cha Upendo, Kata ya Upendo, Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameondokana na adha ya kutumia maji yasiyo safi na salama, ambayo pia yalikuwa yakitumiwa na mifugo baada ya mdau wa kilimo cha tumbaku (Mkwawa Leaf) kuwachimbia kisima cha maji chenye uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya elfu 5000.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.