#HABARI: Wafugaji wilayani Monduli mkoani Arusha wameweka msimamo wao juu ya baadhi ya watu wanaohamasisha watu kuandamana, huku viongozi wakiendelea kutoa tahadhari hasa kwa vijana.
Akiwasilisha msimamo wa wananchi hao wakati wa kufunga Kampeni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo, Bw. Issack Joseph Kapiriano, amewasihi kuachana na watu hao badala yake wajitokeze kupiga kura.
Kwa upande wake Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kutumia haki yao ya msingi kupiga kura kuchagua viongozi bora.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.