#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) ,Majalio Kyara, akikamilisha haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kwenye kituo cha Mbuyuni Changanyikeni wilaya ya Ubungo Dar es salaam.
✍ Omary Katanga
#AzamTvUpdates #UchaguziMkuu2025