Shirika la kutetea haki za binadamu, Independent Medico-Legal Unit (IMLU) limeelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa vifo mikono ya polisi nchini Kenya+++Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani kufanya uwekezaji katika mradi mkubwa wa miundombinu ya reli wa Lobito kusini mwa Afrika.