Hii ni ziara ya kwanza ya Rais wa Syria nchini Marekani tangu taifa hilo lilipopata uhuru mwaka 1946. Kiongozi huyo wa Syria ambaye kundi lake la waasi lilimwondoa madarakani mtawala wa muda mrefu Bashar al Assad alikutana kwa mara ya kwanza na Rais wa Marekani Donald Trump  alipokuwa ziarani mjini Saudi Arabia.

Uhusiano wa Syria na Jumuiya ya kimataifa wazidi kuimarika

Ziara ya Ahmed Al-Sharaa nchini Marekani inafanyika baada ya kiongozi huyo wa Syria kuutembelea Umoja wa Mataifa mwezi Septemba na kulihutubia baraza kuu la umoja huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *