#HABARI: Mawakili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu wameiomba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam itoe ahirisho la siku 14 kwa sababu za kiusalama ombi ambalo majaji wamelikataa na kutaka kesi hiyo indelee Novemba 12, 2025 na mtuhumiwa Tundu Lissu afikishwe Mahakamani na kesi iendelee.

Ombi hilo limetolewa leo Jumatatu, Novemba 10, 2025 na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tawab Issa, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kusikilizwa.

Kesi hiyo inasikilizwa na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Nduguru na itaendelea Jumatamo saa tatu kamili asubuhi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *