Josephat Charo

10 Novemba 2025

Mabingwa wa Bavaria Bayern Munich walizuiwa sare na Union Berlin katika pambano la kukata na shoka ambalo lilikaribia kukamilika kwa ushindi wa Union mpaka pale Harry Kane aliposawazisha dakika za nyongeza.

https://p.dw.com/p/53Nlh

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *