Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano+++Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP30 umefunguliwa jana katika mji wa Brazil wa Belem huku wito ukitolewa kwa ulimwengu kuendeleza mapambano dhidi ya ongezeko la joto duniani.