Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameahidi kuhakikisha Watanzania wanasikilizwa kwa nidhamu katika ofisi za umma sambamba na kuwaonya watendaji wazembe kwenye ofisi hizi kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Msikilize katika dakika mbili za hotuba ya kwanza baada ya kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Imeandaliwa na Juliana James.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *