Pamba Jiji hiyoo kileleni, yaizima Fountain Gate BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikifikisha pointi 12 kupitia mechi saba. Post navigation #HABARI: Mnyama Simba SC, leo anainza safari yake ya Makundi ya Klabu Bingwa dhidi ya Petro De Luanda ya Angola ndani ya Simba l… Prince Dube alivyoisimamisha New Amaan Complex baada ya kuwanyoa Far Rabat CAFCL