NBC Premier League leo Jumatau.
Saa 10:15 jioni, Mashujaa watakuwa dimba la nyumbani Lake Tanganyika wakiwakaribisha Coastal Union.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, ni Wazee wa mapigo na mwendo ama Mangushi nani kuondoka na alama tatu?
#NBCPL #Azamtvsports #SisiNiSoka

(Feed generated with FetchRSS)