#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua na uhalifu, limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro.
Mahojiano yamefanyika Desemba 2, 2025 na baada ya mahojiano hayo ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake wakati uchunguzi zaidi unaendelea kufanyika.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania