#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana mpango wa kufanyia Katiba marekebisho yatakayomruhusu kuendelea kuongoza taifa hilo zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano vilivyowekwa kikatiba.
Ruto amesisitiza kuwa kuheshimu mipaka ya uongozi iliyowekwa na Katiba ni muhimu kwa kudumisha demokrasia na utawala wa sheria na kwamba hatothubutu kuunga mkono juhudi zozote za kuongeza muda wa Urais.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.