#HABARI: Wakulima wa zao la Korosho, katika Wilaya ya Mtwara, wameiomba Bodi ya Korosho, kuwapa elimu ya ubora wa zao hilo, ambalo kipindi hiki cha mauzo wamekuwa wakipata bei isiyoridhisha, ukilinganisha na Wilaya ya Masasi na Nanyumbu, huku changamoto kubwa ikiwa kukosa ubora.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *