#MICHEZO: Mwanariadha wa Mbio Ndefu wa Kimataifa kutoka Tanzania, mwenye rekodi ya medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Tokyo Japan, amerejea nchini na kushika nafasi ya pili katika Fainali za Tuzo za Mwanariadha Bora wa Dunia, baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro Simbu amewashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika fainali hizo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *