#VIDEO: Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama Niffer, na Mika Chavala wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Desemba 3, 2025, kwa ajili ya kusikiliza shauri la uhaini linalowakabili.

Wawili hao ni miongoni mwa washtakiwa 22 wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhaini, ambapo baadhi ya wenzao walifutiwa mashitaka na kuachiwa huru na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wiki iliyopita.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *