#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Njombe, Mhe.Sigrada Mligo, amesusia mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe, kwa madai ya ukiukwaji wa kanuni za kudumu za Baraza hilo, ambapo kwa mujibu wa barua ya wito wa kikao hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi.kuruthum Sadick, kilitakiwa kuanza saa nne kamili asubuhi lakini hadi kufikia saa saba na nusu walikuwa bado hawajaanza ndipo alipoamua kuondoka na kususia kikao hicho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.