#HABARI: Wakati hali ya ukame na kiangazi ikiendelea kukumba eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kufuatia kukosekana kwa mvua kwa muda mrefu, sasa baadhi ya wabunge kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya wanamtaka Rais William Ruto, atangaze ukame unaoendelea kuwa janga la kitaifa ili kuongeza juhudi za kuokoa wananchi na mifugo wanaokabiliwa na njaa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *