Wataalamu mbalimbali wakiwemo wanasayansi na watafiti katika nyanja za uhifadhi na utalii kutoka zaidi ya mataifa ishirini duniani wamekutana jijini Arusha kwa lengo la kujadili na kupitia matokeo ya tafiti zilizofanyika katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Mijadala hiyo, pamoja na mambo mengine, inajadili changamoto zilizopo katika maeneo ya uhifadhi na kuja na mapendekezo yatakayosaidia kutatua changamoto hizo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *