#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw. Majid Mjengwa amebainisha kuwa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa kupitia wazee wa Dar es Salaam, imeonesha dira kwa vijana kuwa hawapaswi kujihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani, hasa yanayopangwa kufanyika Desemba 9, 2025 pamoja na tarehe nyingine.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *