#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya kibinafsi, akisema udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama kwa raia.
Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Museveni alisema kuwa umiliki wa kibinafsi mara nyingi huchochea ukiritimba kwani makampuni yanaendeshwa kwa faida badala ya maslahi ya taifa.
Museveni amebainisha kuwa ili kuhakikisha upatikanaji nafuu kwa wananchi, Serikali inapaswa kusimamia mifumo ya msingi ya utandawazi wa internet, huku watoa huduma binafsi wakiendelea kutoa huduma bila kutawala laini za msingi za usafirishaji wa data.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania