Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Iringa imesema imejipanga kikamilifu kutoa elimu kwa wananchi wa mkoa wa Iringa kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria, ikiwemo migogoro ya ardhi, ukatili wa kijinsia na masuala ya ndoa, ili kuhakikisha kila mwananchi anatambua na kupata haki yake.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *