…
Marekani kwenye ujumbe wao wanasema kuwa vitendo vya hivi karibuni vya serikali ya Rais Samia vimeweka hatarini maslahi yake
…
Wengi tunafikiri kuwa ni yale yaliojiri October 29 ?
Na kama ni yale sasa maslahi ya Marekani ni yapi ?
Au Tuseme kuwa Marekani inatupenda sana raia wa Tanzania mnooo na maslahi yao ni pamoja na uchaguzi huru na wa haki?
…
Alafu kabla ya hii tarifaa jamaa walitoa taarifa kuwa kuanzia December 5 huenda hali isiwe nzuri na wakaonya raia wao!!!
…