Katika kufanya jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika misimu mbalimbali ya kilimo, wakulima mkoani Simiyu wamehimizwa kutumia mbegu zilizofanyiwa tafiti na kuachana na matumizi ya mbegu kwa ‘mazoea’ hali inayotishia ufanisi katika kilimo chao.

Joyce Mwakalinga amezungumza na wakulima hao na wataalamu wa kilimo kutoka Wizara ya Kilimo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *