NO FREE LUNCH IN AMERICA

Donald kachukua muda wake kuwapatanisha alafu sharti Makampuni ya Marekani yachimbe madini Congo na deal done โœ…

Tatizo la Congo linamalizwa na aliyelianzisha kwa maslahi yake, kimkakati ni kuwa hakuna shaka kuwa utilivu huu utakuwa wa muda tu, ingawa tunaomba uwe utulivu wa siku zote pale Congo

All the best Africa๐ŸŒ

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *