Mussa amewasili Lushoto na kupokelewa na mwenyeji wake Baba Hamida, huku amepewa utambulisho mpya kama Sheiza pasina kujua kuwa ni jasusi aliyekuja kumpeleleza Mzee Maega ambaye anadhani ni msaidizi wa kazi za nyumbani aliyeletewa…

Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *