Wachongaji na wafanyabiashara wa vinyago katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara wameomba wadau mbalimbali kuwashika mkono kwa kununua bidhaa zao ili kuenzi mila, desturi na tamaduni za Kitanzania.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *