Siham bado anateswa na kumpoteza Basma. Stori za mtoto kupotea zinamshtua moyo wake. Upande wa pili Maryam anapambana kumtafutia shule Halla. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO