Mtangazaji na mwandaaji wa vipindi AzamTV, @bettyomaratz ameshinda tuzo ya Mwandishi wa Habari Bora Katika Ubunifu wa Mavazi kupitia jukwaa la Swahili Fashion Week 2025.
Akizungumza kupitia kipindi cha #AlasiriLounge, Betty amezungumza namna alivyojisikia baada ya kushinda tuzo hiyo ikiwa ni mara ya pili anashinda kwenye kipengele cha ubunifu wa mavazi.
#ubunifu #tuzo #swahilifashionweek