Viongozi wakuu wa Hamas wanusurika na shambulio la anga la Israel nchini Qatar

Kundi la Hamas limesema Marekani inawajibika kwa pamoja na Israel kuhusu mashambulizi ya Doha, na imesisitiza kuwa mashambulizi hayo hayataathiri matakwa yao ya kusitishwa kwa mapigano Gaza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *