#MCHEZOSUPA: Mchezo Supa chini ya Kituo cha ITV, umerudisha kwa jamii kwa kutembelea kituo cha kulea Watoto Yatima cha Watoto Wetu jijini Dar es Salaam.
Mzalishaji wa Vipindi wa Capital TV Damdel Ndunguru, amesema changamoto za Watoto zipo nyingi na mahitaji yao hivyo watu wanapoguswa na kuwatembelea ni baraka ambapo Watoto hao wanaweza kuwa viongozi wakubwa hapo baadae.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania