Bakhresa Group kwa kushirikiana na Fun City imefungua duka jipya la kuuza bidhaa za ice cream Kigamboni, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma na kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali nchini.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *