#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, limeona picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii akionekana Askari wa Polisi Usalama wa Barabarani akishawishi rushwa.
Askari huyo kwa msaada wa picha hiyo amepatikana na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania