Je, huwa unatumia muda gani hadi kubadilisha mswaki wako wa kusafishia meno? Daktari wa Kinywa na Meno, Cosmas Anthony anaeleza sababu za kwa nini hupaswi kuzidisha miezi mitatu katika matumizi ya mswaki wako.

Mbali na muda wa matumizi ya mswaki, Dkt. Cosmas pia ameeleza juu ya tabia ya watu kusafisha meno kisha kusukutua, kitu ambacho amesema kinapunguza kinga ya meno na kinywa.

Usikose kutazama Medi Counter kila Jumatatu saa 3:30 usiku kupitia #UTV

Imeandaliwa na Dafrosa Prosper
Mhariri @abuuyusuftz

#medicounter #utv108 #afya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *