Kama una changamoto ya nyama uzembe hasa maeneo ya tumbo na mikononi, leo tumekuletea mazoezi maalum yatakayosaidia kukaza misuli ya maeneo hayo na mwili wako kuwa katika muonekano mzuri. @mcjojo__
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates