Kazi ya udereva wa abiria na mizigo inatajwa kuwa na changamoto mbalimbali zikiwemo ajali ambazo baadhi ya madereva hukumbwa nazo.

Hata hivyo kwa Mzee Faraji Nyembo maarufu kama “Mzee Pozi kwa Pozi” amefanya kazi hii kwa miaka 55 sasa pasina ajali yoyote kuanzia kuendesha gari ndogo (teksi), malori na sasa ni dereva bajaji.

Mwandishi wetu Sammy Kisika amemtembelea mzee Nyembo mjini Sumbawanga na kuzungumza naye kuhusu uzoefu wake wa maisha ya udereva.

Mhariri @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates #HabariWikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *