Katika kusheherekea miaka mitatu tangu ya kufunguliwa kwa mgodi wa Azam TV uliopo Buzuruga jijini Mwanza, mgodi huo umetangaza punguzo la bei kwa visimbuzi vya Azam TV ikiwa ni mpango wa kuhakikisha kila mtu anauanza mwaka mpya wa 2026 akiwa na tabasamu nyumbani kwake.

Mgodi huo kwa sasa unauza kisimbuzi cha ungo (dish) kwa Shilingi 95,000 huku kisimbuzi cha antena kikiuzwa kwa 35,000.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *