Ubunifu wa wanafunzi wa kada ya umeme kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi mkoani Morogoro huenda ukawa jibu la mtaji mdogo kwa wajasiriamali wa ufugaji kuku baada ya kubuni mashine ya kutotolesha vifaranga ya gharama nafuu.
Theresia Mwanga amejionea mashine hiyo ambayo ipo katika hatua za majaribio.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi