“…..baba yangu amelala pale, wengi watakuwa wanajiuliza kwa nini mama yangu mpenzi naye amelala pale…..kulikuwa na mti mkubwa….basi marehemu mama yangu katika ustawi wa maisha yake na kumpenda mpenzi wake aliagiza ule mti ukatwe ili yale majani yasiwe yanaharibu kaburi la marehemu baba, hatukujua kumbe alikuwa anaandaa makao ya milele kwa hiyo mama alijua atakuja kulala karibu na mume wake….” Victor Mhagama – Mtoto wa marehemu Jenista Mhagama

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *