Vuli amemkimbiza maji na kuacha balaa, makachero wa #SentroCloudstv wameamua kupiga Kampeni ya operesheni chemchem maji atafutwe mpaka apatikane ili asaidie wengi.
Kutoka river side hadi goba madale hadi kimara bonyokwa makachero watapita kuangalia hali ya upatikanaji wa Maji wakiwa na Mwenye dhamana ya Wilaya ya Ubungo DC Alberto Msando. @albertomsando
Operesheni chemchem itaanza 1:30 Usiku @cloudstv vipi huko ulipo yanatoka
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyooshaa