#MICHEZO: @hoseamchopa amezungumza na kocha Dimitar Pantev kuhusu kwa nini alikuwa anampa dakika nyingi Eli Mpanzu na kumuamini kama mchezaji namba moja muhimu katika idara ya ushambuliaji ilihali kipindi chake hakutengeneza namba kubwa za kufunga na upishi.
Dimitar Pantev anamtaja mchezaji huyo anayehusishwa kuzivutia klabu nyingine hapa Tanzania kama mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kubadilisha mchezo.
Akitolea mfano kipindi kigumu alichopitia Romelu Lukaku kuwa hakikuondoa ukweli kuwa ni mshambuliaji bora na alithibitisha alipoamua ligi ya Italia.
Kauli hii inakuja siku za karibuni baadhi ya mashabiki wakiamini kuwa kiwango chake hakitoshi!
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania