Kupitia The Spark ya Clouds TV, @queenbees wameeleza kuwa bado hawajapata wawekezaji wa kueleweka. Hadi sasa, wamekutana na watu wanaotoa ahadi za kuwasaidia kushoot video, huku wengine wakiwa wanawasaidia kwa mavazi ya kufanya interviews.

Vilevile, wametaja matarajio yao kwa mwaka 2026 kuwa ni kuachia wimbo mpya kufikia mwezi Januari.

Cc @missloloh_
@djfantastic255

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *