#HABARI: Siku moja baada ya Serikali kuainisha mpango mkakati wa kutatua kero kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, baadhi ya Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, mbali na kupongeza mipango hiyo wameomba hatua za haraka za utatuzi wa shida ya maji inayowakabili sasa iendelee kufanyika.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania