“Wanasema kuna mgogoro kati ya upande wa klabu na mwekezaji, mimi na mwenyekiti wa bodi tunaongea kila mara, kama ni Mo mimi mara ya mwisho niliongea nae jana saa 8. Sisi hatuna jambo la siri, timu inafanya mipango yake kama kuna taarifa ya kutoka inatoka.” – Makamu Mwenyekiti wa Bodi na Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.