“Watu wengi wanatumia dawa za meno ambazo sio sahihi. Hiyo inachangia kushusha afya yao ya kinywa kwa watu wengi. Lakini pia ni jinsi gani ya kusafisha kinywa na kutunza vinywa vyao. Hiyo pia unaosababisha afya ya kinywa na meno kudorora kwa watu wengi. Lakini pia vyakula ambavyo watu wengi wanakula, vyakula vyenye sukari hatushauri watu kutumia. Vyakula hivi vinasababisha meno kutoboka”- Dkt Winfred Mgaya. (@drwinfredmgaya)

#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *